Top Stories

“Mwalimu Nyerere alijenga misingi, Magufuli ameisimamia” – Butiku

on

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku September 6, 2017 alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam na kumpongeza kwa kazi kubwa anayoifanya kuongoza Serikali ya Awamu ya Tano.

Mzee Butiku amesema katika kipindi kifupi alichokuwa madarakani President Magufuli amesimamia vizuri nidhamu, watu kufanya kazi, kupiga vita rushwa, ulipaji wa kodi na kumtaka asirudi nyuma kwa kuwa nchi inakwenda vizuri.

Mbunge Bashe, wenzie kuhusu waliohusika sakata la madini

RIPOTI YA MADINI! Kuna Vigogo wengine wametajwa kwenye Ripoti mpya

“Lazima tuchukue hatua kali, kesho namfikishia Rais” – Majaliwa

Soma na hizi

Tupia Comments