Habari za Mastaa

Baada ya Closer na Come Over…hii ni mpya kutoka kwa Vanessa Mdee.

on

Hawajui artworkHii ndiyo teaser ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee pamoja na artwork yake ambapo baada ya kuiachia single kwenye XXL ya Clouds FM, single hii mpya ya V Money unaweza kuisikiliza na kuidownload kwenye link hapa chini.

Ukitaka kusikiliza wimbo wote na kudownload pia kusoma mashairi yake inabidi ubonyeze hapa –> https://mkito.com/song/hawajui/1829

Tupia Comments