Vituko/ Comedy

COMEDY: Joti katuletea ya Mwanamke wa mjini alivyokutana na Mkongo

on

Inawezekana siku yako haijawa poa sana leo, basi chukua time hii kuirejesha furaha kwa kucheka na  vituko vya mchekeshaji Joti ambaye time hii amecheza kama mwanamke aliyekutana na Cha Mkongo sasa anamsimulia rafiki yake kile kilichotokea baada ya tukio hilo.

ULIIKOSA HII YA JK COMEDIAN ALIVYOKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA RAIS MSTAAFU KIKWETE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments