AyoTV

VIDEO: Ni kweli lift zilizimwa Taifa Yanga vs Simba kisa Lowassa?

on

Baada ya minong’ono kwamba lift za uwanja wa Taifa zilizimwa Jumamosi February 25 2017 wakati wa Simba vs Yanga ili Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa ashindwe kwenda kwenye eneo la VIP au apande kwa ngazi, TFF wamezunguma.

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa TFF Alfred Lucas ameweka wazi kilichosababisha lift za uwanja wa Taifa siku ya Jumamosi wakati wa mchezo kutofanya kazi “Kulikuwa na tatizo la umeme kwa siku hiyo ndio maana hata nyinyi Wanahabari nilichelewa kuwapa team sheet”
Unaweza kumtazama Alfred akielezea zaidi kwenye hii video hapa chini…….

 VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani Kikwete baada ya kuona picha aliyopiga na Edward Lowassa….. HII VIDEO HAPA CHINI INA KILA KITU KILICHOSEMWA

FULL VIDEO: Steve Nyerere atokwa machozi, aongelea sauti ya simu iliyosambaa akiongea na Mama Wema Sepetu….. bonyeza play kutazama hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments