Mix

Mawaziri sita wa Rais Magufuli walivyokula viapo Ikulu Dec 28…..(+Audio & Pichaz)

on

Dec 28 2015 Baraza la Mawaziri la Serikali ya awamu ya tano limekamilika baada ya Mawaziri watano na Naibu Waziri mmoja kula viapo, Shughuli imefanyika Ikulu Dar es salaam ikiongozwa na Rais John Pombe Magufuli.

IMAG1801

Prof. Jumanne Maghembe-Waziri Maliasili na Utalii

IMAG1805

Prof. Makame Mnyaa Mbarawa-Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

IMAG1807

Mhandisi Gerson Lwenge-Waziri wa Maji na Umwagiliaji

IMAG1809

Dkt. Philip Mpango-Waziri wa Fedha na Mipango

IMAG1812

Dkt. Joyce Ndalichako-Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

IMAG1814

Hamad Masauni-Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

Hapa chini nimekuwekea sauti yote wakati Mawaziri na Manaibu wakila viapo, unaweza kubonyeza Play>>

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments