Premier Bet
TMDA Ad

Duniani

PICHA & VIDEO : Nike wametoa viatu vyenye uwezo wakujifunga kamba vyenyewe

on

Ni kazi yangu kuhakikisha haupitwi na chochote kinachotrend duniani mtu wangu na leo oct 22 2016 nakusogezea taarifa juu ya teknolijia mpya ya viatu venye uwezo wa kujifunga kamba vyenyewe.

Viatu hivi vimetengenezwa na kampuni ya NIKE ambapo vinauwezo wa kujifunga kamba vyenyewe kazi yako ni kuvivaa tu na wamekuwekea vibutton pembeni vya kuminya kisha vinajifunga kamba automatically, na sasahivi tayari viatu hivi vinatumika mtu wangu, nimekusogezea picha uweze kuviona mtu wangu.

finally-nike-is-going-to-sell-those-self-lacing-back-to-the-future-2-sneakers-this-year

6404837_nike-will-release-self-lacing-back-to-the_5a57b181_m

landscape-1475524585-2015-nike-mag-02-original

video hii hapa chini uweze kujionea viatu vinavyovaliwa mtu wangu

ULIMISS KUITAZAMA HII YA MO MUSIC ANAMUANGALIA NANI KAMA ROLE MODEL WAKE KWA BONGO? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments