Michezo

Vidal akutwa na Corona siku 4 baada ya kupata chanjo

on

Staa wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Chile Arturo Vidal amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona na sasa yupo hospitali akipatiwa matibabu.

Vidal anapatiwa matibabu lakini anasumbuliwa pia na tonsesi (tonsillitis) hivyo ni wazi sasa atakosekana katika mchezo wa Chile dhidi ya Argentina wa kuwania kufuzu World Cup Alhamisi hii na vs Bolivia wiki ijayo.

Wachezaji wengine katika kikosi cha Chile wamepimwa na kukutwa negative, Vidal Ijumaa iliyopita alichoma chanjo ya Corona.

Soma na hizi

Tupia Comments