Mix

VIDEO: Mkali kutokea Jamaica Koffee katuletea video mpya ‘W’ akiwa na Gunna

on

Kwa wale watu wangu wanaopenda muziki mzuri time hii mkali Mikayla Simpson a.k.a Kofffe mwenye umri wa miaka 19 ametuletea video mpya ya wimbo wake aliyomshirikisha Gunna unaweza ukaitazama hapa

ULIIKOSA HII YA STEVE NYERERE KUFUNGUKA ‘HAKUNA MAHALI TUMEKUBALIANA NIKIFA UMLEE MAMA YANGU’ BASI ITAZAME HII VIDEO UMSIKILIZE ZAIDI

Tupia Comments