Top Stories

VIDEO: Agizo la Waziri Mkuu baada kafika eneo lililoposombwa daraja huko Morogoro

on

NI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambae tayari ameshafika eneo ambalo liliposombwa Daraja na mafuriko yaliyotokea huko mkoani Morogoro

Daraja hilo lililopo Wilayani Gairo, katikati ya maeneo ya Magubike na Kiegeya lilibomoka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha mawasiliano ya barabara ya Morogoro-Dodoma kukatika.

Soma na hizi

Tupia Comments