Burudani

VIDEO: Alicia Keys akiimba kwenye siku ya kuwakumbuka Kobe Bryant na Gianna

on

FEB 24 2020 ni siku ambayo ya kuwakumbuka legend wa NBA Kobe Bryant na binti yake Gianna  waliofariki pamoja katika ajali ya helicopter binafsi na wengine 7.

Sasa moja ya matukio yaliyofanyika katika siku hiyo ni mkali kutokea marekani Alicia keys aliepanda jukwaani kuimba live, itazame hii video hapa

Soma na hizi

Tupia Comments