Habari za Mastaa

VIDEO: Alikiba kaizungumzia studio yake mpya na ya kisasa

on

Kwa mara ya kwanza msanii Alikiba amezungumza kuhusu studio yake mpya na ya kisasa ikiwa ni baada ya kupost picha za muonekano wa studio hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo Alikiba ameeleza studio hizo zitakuwa ni kwaajili ya King’s music kwa sasa.

Bonyeza PLAY kumtazama Alikiba akizungumza.

FULL MIUNO ALIKIBA NA CHRISTIAN BELLA WAKIZINDUA VIDEO YA WIMBO WAO MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments