AyoTV

Video: Alikiba kaweka wazi kuhusu meneja seven, kaacha kufanya nae kazi

on

Bado tuko kwenye headlines za msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ambae Jana Novemba 8, 2019 alifunguka mbele ya waandishi taarifa za kuacha kufanya kazi na meneja wake aitwae Seven.

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza alichokizungumza Alikiba mbele ya waandishi wa habari

 

ULIIKOSA HAYA MANENO YA MENEJA MPYA WA ALIKIBA ALIYOYASEMA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments