Michezo

Video: Angalia magoli ya Sanchez na Sanogo yaliyoipeleka Arsenal 16 Champions League

on

article-2850813-238A152B00000578-661_636x429Ligi ya mabingwa wa ulaya imeendelea tena jana usiku kwa michezo mingine 8 kuchezwa katika viwanja tofauti barani ulaya.

Arsenal ikitoka kupokea kipigo kutoka kwa mahasimu wao Manchester United jana ilikuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani kucheza mechi muhimu dhidi ya Borrusia Dortmund ya Ujerumani.

Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa 2-0 wa Gunners, Alexis Sanchez na Yaya Sanogo wakifunga magoli hayo na kuipeleka Arsenal katika raundi ya 16 bora ya michuano hiyo.

Unaweza kuangalia magoli hayo hapa:

Arsenal vs Borussia Dortmund 2-0 by myflexmood1

Tupia Comments