AyoTV

VIDEO: Antonio Nugaz kwa tambo, hivi ndio vijembe kwa Simba

on

Afisa Muhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Antonio Nugaz leo ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia maandalizi mbalimbali ya timu yaoe kuelekea mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Simba SC, Nugaz kama alivyozoeleka hapa ndio alianza kuleta tambo zake kuelekea mchezo wa January 4 2020 uwanja wa Taifa.

VIDEO: NIYONZIMA KAWASILI DAR, KAULI YAKE KUHUSU GAME YA SIMBA NA YANGA NDIO HII

Soma na hizi

Tupia Comments