AyoTV

VIDEO: Antonio Nugaz leo kinyonge kakubali “Kagera Sugar walikuwa bora unauliza hilo?”

on

Afisa muhamasishaji wa Yanga SC Antonio Nugaz ameongea na waandishi wa habari baada ya Yanga SC kufungwa magoli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Uhuru leo January 15 2019 mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/2020.

Nugaz amekubali kuwa Kagera Sugar ilikuwa bora kuliko wao ndio maana wao wakapoteza mchezo huo, Kagera wao walitengeneza nafasi zote ambazo walizitumia lakini Yanga wao wamepata nafasi nne na kushindwa kuzitumia ndio maana wameadhibiwa.

AUDIO: DR Kigwangalla ahoji bilioni 4 za MO Dewji Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments