Habari za Mastaa

VIDEO: Auntie Ezekiel kafunguka ya Ruby, Kusah na kubadili Dini

on

Mwigizaji Auntie Ezekiel amesema kingine kinachoweza kuyafanya mapenzi yawe marefu ni kufahamu mipaka ya mwenzako na kutoingiliana, ameyasema haya wakati alipofika Kids Fashion Empire ambako Mtoto wake na Kusah amepewa ubalozi.

Auntie Ezekiel amesema hajawahi kumuingilia Kusah kwenye ishu yake ya malezi na Mtoto wake na Ruby na hata Kusah mwenyewe huwa haingilii ya Auntie na Mzazi mwenzie Iyobo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO

 

Soma na hizi

Tupia Comments