AyoTV

VIDEO: AzamFC wafunga mashine maalum uwanjani kupulizia dawa kuua Corona

on

Ikiwa uwanja wa Azam Complex unaomilikiwa na Azam FC utatumika katika michezo ya kumalizia msimu wa Ligi Kuu Tanzania bara 2019/20 baada ya Ligi kusimama sababu ya Corona, Azam FC sasa wamefunga katika uwanja huo kifaa maalum kinachoitwa “Disinfectant Machine” kwa ajili ya kupulizia dawa kwa waingiaji uwanjani kama sehemu ya mapambano ya Corona, Ligi sasa itamalizia msimu ikichezwa kwa kituo kimoja, Bonyeza PLAY kutazama machine yenyewe iliyofungwa.

AUDIO: SIMBA SC ILIVYOMPOKEA MEDDIE KAGERE LEO

Soma na hizi

Tupia Comments