AyoTV

VIDEO: Baada ya kufungwa na Simba kocha wa Polisi kinyonge “Namuachia Mungu”

on

Baada ya Simba SC kusawazisha goli lao la kwanza dhidi ya Polisi Tanzania kwa utata katika ushindi wao wa 2-1, huku ikiaminika kuwa goli hilo lililofungwa na John Bocco lilikuwa ni offside, kocha wa Polisi Tanzania Mlale Hamsini amegoma kuzungumzia bao hilo.

“Mwisho wa yote namuachia mwenyezi Mungu ndiye aliyeapanga, (kuhusu muamuzi) swali lako la mwanzo siliongelei sana mimi hilo halinihusu lakini jambo la pili jinsi ulivyoniambia tulibidi kuimaliza mechi mapema ni kweli kimetushinda tu ni uzoefu kwa kweli”>>> Mlale Hamsini

VIDEO: PAMBANO LA ROUND 10: MTANZANIA VS MTHAILAND NI UBINGWA WA DUNIA

Soma na hizi

Tupia Comments