AyoTV

VIDEO: Baada ya kupoteza namba Simba SC, Kichuya arudi mchangani kujifua

on

Winga wa Club ya Simba SC Shiza Ramadhani Kichuya amerudi kwao mjini Morogoro wakati huu ambao Ligi imesimama kwa sababu ya Corona, Kichuya ambaye kwa sasa amepoteza namba Simba SC anaendelea kujifua na rafiki zake wa Morogoro ili kujiweka fiti kwa ajili ya kurejea kumalizia msimu wa 2019/2020

VIDEO: MTENDAJI MKUU TFF ATINGA TAKUKURU KUHOJIWA

Soma na hizi

Tupia Comments