AyoTV

VIDEO: Ben Paul na staa wa zamani Man United

on

Msanii wa Bongofleva Ben Paul leo alikuwa LIVE instagram na staa wa soka wa zamani wa Man United raia wa Uholanzi ambaye kwa sasa anacheza Olympique Lyon ya Ufaransa Memphis Depay.

Depay na Ben Paul walisikilizishana ngoma zao kwani nje ya soka Depay anafanya muziki pia japo hajawanao serious sana kama ilivyokuwa soka, wawili hao kwa mujibu wa Depay urafiki wao ulianzia Dubai wote wawili walipokutana wakiwa mapumzikoni.

AUDIO: CHAMA AKATA MZIZI WA FITNA, ATOA TUMAINI YANGA

Soma na hizi

Tupia Comments