AyoTV

VIDEO: Bodi ya Ligi yatoa neno, presha ya game ya Simba na Yanga

on

Kuelekea moja kati ya Derby 10 bora  Afrika ya Simba na Yanga Jumamosi ya January 4 2020, bodi ya Ligi Kuu Tanzania bara imetoa tamko na tahadhari katika mchezo huo ili kuondoa usumbufu kwa mashabiki ba wageni ambao wanapanga kufika maeneo hayo.

Pamoja na hayo bodi ya Ligi imetoa malelekezo kuwa sehemu pekee itakapokuwa zinauzwa tiketi kwa maeneo ya uwanjani kwa siku hiyo ni uwanja wa Uhuru, hiyo inatokana na kuyafanyia kazi malalamiko ya baadhi ya watu waliowahi kulalamika kuwa kuna baadhi ya tiketi za kielectronics zilizokuwa zinauzwa uwanjani hapo kwa siku za nyuma ziliwasumbua mashabiki.

VIDEO: NIYONZIMA KAWASILI DAR, KAULI YAKE KUHUSU GAME YA SIMBA NA YANGA NDIO HII

Soma na hizi

Tupia Comments