AyoTV

VIDEO: Bondia kutoka kambi ya Manny Pacquiao kamfuata Hassan Mwakinyo November 29 2019

on

Bondia Arnel Tinampay ambaye ni namba mbili kwa ubora nchini Philipines baada ya Manny Pacquiao, leo amewasili jijini Dar es Salaam kuelekea pambano la kihistoria dhidi ya Bondia namba moja Afrika Hassan Mwakinyo litakalochezwa uwanja wa Uhuru November 29 2019.

Arnel amewasili Tanzania akiwa na jumla ya watu wanne pamoja na yeye, inaaminika kama kuamuni kuwa anaweza kuepuka hujuma, ameamua kuja na mpishi wake Santos Edward hiyo ni kuhakikisha anaandika rekodi dhidi ya Mwakinyo.

VIDEO:MPISHI WA BONDIA WA ARNEL TINAMPAY ATAKAYEPIGANA NA MWAKINYO KAFUNGUKA

Soma na hizi

Tupia Comments