AyoTV

VIDEO: Bondia Salim Mtango alipa kisasi cha Watanzania kwa kumpiga Mthailand

on

Bondia Mtanzania Salim Mtango baada ya kuwa Bingwa wa Dunia wa (UBO) kwa kumpiga Suriya Tatakhun kutoka Thailand aliyeonekana kuwa hatari kwa Watanzania wanne aliowahi kupigana nao na kuwapiga, kabla ya usiku wa January 31 2020 Mtango kulipa kisasi kwa TKO round ya 7, Mtango aeleze furaha ya ushindi wake.

VIDEO: PAMBANO LA ROUND 10: MTANZANIA VS MTHAILAND NI UBINGWA WA DUNIA

Soma na hizi

Tupia Comments