AyoTV

VIDEO: Bondia Suriya aeleza alivyopigwa ngumi na Mtango na kushindwa kuona

on

Bondia kutoka Thailand Suriya Tatakhun aeleza sababu za kukubali kupoteza pambano la Ubingwa wa Dunia (UBO) dhidi ya Mtanzania Salim Mtango kwa TKO round ya 7 kati ya 10 ni kutokana na kushindwa kuona.

“Nasikitika nimepoteza lakini naamini nilipambana vizuri, nimekubali kushindwa kwa makusudi kwa sababu nilikuwa sioni kitu”>>> Suriya Tatakhun

VIDEO: PAMBANO LA ROUND 10: MTANZANIA VS MTHAILAND NI UBINGWA WA DUNIA

 

Soma na hizi

Tupia Comments