AyoTV

VIDEO: Bondia wa Manny Pacquiao ana mbwembwe, kaja na mpishi Dar kabla ya kupambana na Mwakinyo

on

Bondia Arnel Tinampay anayetokea kambi ya Manny Pacquiao amewasili jijini Dar es Salaam akiwa na kocha wake, Dr pamoja na mpishi wake Santos Edward kuelekea pambano lake dhidi ya Hassan Mwakinyo, Arnel amekuja akiwa na mpishi wake ambaye aliongea na AyoTV.

“Tumekuja mapema kwa ajili ya kuizoea hali ya hewa na kujiandaa kwa kila kitu ila hali ya hewa ni kitu kikubwa kwetu, kwa sababu mwili unaweza kubalika wakati wowote kwa mfano tumbo, misuli hivyo tunapaswa  kuliangalia hilo, kama mtu wa chakula natakiwa kuhakikisha nampa kizuri bila shaka tumekuja na chakula chetu kutoka Philipines kwa ajili ya huyu mpambanaji” >>>>Santos Edeward

VIDEO: BONDIA ARNEL TINAMPAY NAMBA 2 KWA UBORA PHILIPINE BAADA YA MANNY PACQUIAO KATUA DSM

Soma na hizi

Tupia Comments