Ni January 14, 2023 ambapo Bondia Karim Mandonga atapigana na mpinzani wake Daniel Wanyonyi katika Ukumbi wa KICC nchini Kenya.
Sasa miongoni mwa waliofika muda huu katika ukumbi ambao pambano hilo linafanyika ni Bongozozo.
Tazama hapa ufahamu alichokizungumza.