Top Stories

Video Call: Rais Mwinyi aongea na Gurnah, mzanzibar mshindi wa Nobel Ulaya

on

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amezungumza kwa video call na Mshindi wa Tuzo ya Nobel upande wa Fasihi Profesa Abdulrazak Gurnah ambae ni Mzaliwa wa Zanzibar.

Kwenye mazungumzo hayo Rais Mwinyi amempa pongezi za ushindi lakini pia akamualika aje Zanzibar ambapo amepokea mwaliko huo wa Rais kwa mikono miwili na kuahidi kwenda.

HILI NDILO KABURI LA HAYATI MAGUFULI, LAJENGEWA NYUMBA, MAJALIWA AFIKA

Soma na hizi

Tupia Comments