AyoTV

VIDEO: Dawa ya Covidol inayodaiwa kutibu corona yaleta mtafaruku

on

Dawa ya covidol inayodaiwa kutibu ugonjwa wa corona, imeleta mtafaruku baada ya taarifa zake kusambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii, TBC Aridhio imefuatilia ukweli wa dawa hiyo inayodaiwa kutibu Corona kwa kuzungumza na mamlaka mbalimbali za serikali wenye dhamana ya kuthibitisha hilo.

VIDEO:MSUVA KATUONESHA UMAHIRI WA KUCHEZA SUDDEN YA TEKNO

 

Soma na hizi

Tupia Comments