AyoTV

VIDEO: Dida aliachwa Simba kisa aliomba mkataba aondoke nao akausome

on

AyoTV ilipata nafasi ya kuongea Exclusive Interview na kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na club za Simba na Yanga Amri Kiemba, ambapo aliongea mambo mbalimbali kuhusiana na maisha yake ya soka hususani ngazi ya vilabu.

Kiemba alijibu swali kuhusiana na mastaa wengi kuingia katika mzozo na vilabu vyao pale ambapo mikataba yao inakaribia kumalizika au imemalizika, hivi kwa upande wake anadhani mastaa huwa wanapata nafasi ya kuisoma mikataba yao kabla ya kusaini, vipi kwa upande wake.

“Kikubwa ni kwamba mikataba yote inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza tena sio cha kawaida kiingereza cha sheria sio cha tamthiliya, wao (vilabu) wanafanya kwa makusudi na wanakusudio lao ukiangalia ufahamu wa kiingereza kwa wachezaji ni wakubahatisha bahatisha”>>>Amri Kiemba

VIDEO: KUMLAUMU AISHI MANULA NI KUMKOSEA HESHIMA BALAMA WA YANGA

Soma na hizi

Tupia Comments