Habari za Mastaa

VIDEO: DJ Khaled anatualika kutazama Trailer ya Do You Mind hapa.

on

Mtu wangu wa nguvu leo nimeipata hii kutoka kwa DJ Khaled a.k.a Snapchat King ambaye ametuletea kipande cha Video yake mpya itakayotoka muda mchache ujao. Wimbo unaitwa Do You Mind ambao amewapa collabo mastar kama Nicki Minaj, Chris Brown, August Alsina, Rick Ross, Jeremih na Future.

Mwezi uliopita DJ Khaled aliweka picha za behind-the-scenes kuptia Snapchat akiwa location kushoot video ya wimbo huo. Kwa mujibu wa DJ Khaled ataiachia kwenye sherehe za BET Hip-Hop Awards.

ULIMISS KUMUONA WOLPER ALIVYOKIPAMBA KITANDA CHAKE KWAAJII YA BIRTHDAY YA HARMONIZE

Soma na hizi

Tupia Comments