Habari za Mastaa

Video ya mkali kutoka Kenya, Rabbit King mwenyewe feat. Rich Mavoko- ‘Njoo’

on

R2Mipaka ya kazi za kisanaa inazidi kupanuka kwa mkali kutoka 255 Bongo Flevani, Rich Mavoko ambaye safari hii moja ya vitu vilivyoonekana sana kwenye ukurasa wake wa Instagram ni PICHAZ akizungumzia ujio wa hii ngoma kutoka Kenya, ambayo Mavoko kapewa collabo.

Wimbo ni wa Rabbit King Kaka unaitwa Njoo’.

Nikimwona roho huskip a beat kama saa, msafi na tattoo ya hearts kwa thigh, pesa unajua kupata, matembezi ya bata, maringo ya tausi…”; hii ni sehemu ya verse kutoka kwa Rabbit mwenyewe.

kakaa

Rabbit na Rich Mavoko

Tumia dakika 3 kutazama video hii hapa.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram,  na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments