AyoTV

VIDEO: GSM waweka wazi mgawanyo wa Tsh milioni 200 uliyomkwaza Makame

on

Mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM Eng Hersi Said leo ametolea ufafanuzi kuhusiana na ile ishu ya kudaiwa kugawanyika kwa wachezaji wa Yanga baada ya mgao wa Tsh Milioni 200 kutoka.

Kuelekea mchezo wa watani wa jadi wa Yanga SC na Simba SC uliyochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam March 8 2020, GSM ambao ni sehemu ya wadhamini wa Yanga waliahidi kuwa Yanga wakishinda watatoa Tsh milioni 200 kwa wachezaji kama bonasi.

Tsh Milioni 200 GSM walitoa lakini kuna wachezaji walipewa Tsh milioni 10 kila mmoja na wengine milioni 3 na wengine mbili kiasi cha kupelekea wachezaji kukasirishwa baadhi waliyopata pesa kidogo na voice note kuvujaa sasa leo Eng Hersi ametoa ufafanuzi kwa nini mgao ulikuwa hivyo na kweli walikubaliana na wachezaji mapema kabla ya mchezo mgao utavyokuwa.

AUDIO: MAMA MZAZI WA NEYMAR AZAMA KWENYE PENZI LA KIBENTEN

Soma na hizi

Tupia Comments