AyoTV

VIDEO: GSM yazindua duka la vifaa vya michezo vya Brand ya Anta Sports

on

Kampuni ya GSM kwa kushirikiana na Anta Sports ambayo ni Brand kubwa ya vifaa vya michezo, sasa ni rasmi GSM kwa kuthamini afya za watanzania wanaopenda michezo kwa kufanya mazoezi na wanamichezo kwa ujumla sasa imeleta rasmi vifaa vya michezo kupitia brand ya Anta Mlimani City Dar es Salaam, huu ndio uzinduzi wenyewe leo

VIDEO: TATHMINI YA ALLY MAYAY KUHUSU FAINALI MAPINDUZI CUP, KAULI YA NUGAZ ILIYOMFANYA AOMBE RADHI JE?

Soma na hizi

Tupia Comments