AyoTV

VIDEO: Haji Manara kaachana na mkewe “Kwani Mama yangu mzazi yule”

on

Afisa habari wa Simba SC Haji Manara amefunguka kuachana na mkewe, hiyo ni baada ya tetesi kuenea katika mitandao ya kijamii kwa zaidi ya miezi kadhaa sasa kuwa Manara na mkewe wameachana.

Manara katika mahojiano yake ya insta Live na Sabrina Golden  Hour ameeleza kuwa ni kweli ameachana na mkewe kwa sababu zake binafsi na haoni kama kuna haja ya kuweka hadharani.

VIDEO: HAJI MANARA KUACHA KAZI SIMBA SC

Soma na hizi

Tupia Comments