Habari za Mastaa

VIDEO: Hamisa Mobetto ajizawadia mgari wa thamani kwenye Birthday yake

on

Mrembo Hamisa Mobetto ambaye usiku wa December 14, 2019 alifanya party ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa, usiku ambao alialika baadhi ya watu maarufu ambao walimzawadia zawadi mbalimbali kisha na yeye kujizawadia gari aina ya Land Rover Discovery 4.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: IRENE UWOYA ALIVYOMZAWADIA HAMISA MOBETTO KWENYE BIRTHDAY DINNER YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments