Habari za Mastaa

VIDEO: Hamisa Mobetto katoboa Siri yake na Wema Sepetu

on

Mwanamitindo na mwimbaji Hamisa Mobetto amezungumza kuhusu uhusiano wake na Mwigizaji staa wakike Wema Sepetu ikiwemo ujio wa EP yake anayotarajia kuiachia hivi karibuni iliyosheheni wasanii mbali mbali wakiwemo wa Kenya na Nigeria.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Hamisa akifunguka

Soma na hizi

Tupia Comments