AyoTV

VIDEO: “Hapa ndio mahali ambapo Rais wetu Magufuli atachukulia fomu”-PM Majaliwa

on

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim leo ametembelea jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma linaloendelea na ujenzi chini ya Suma JKT, jengo hilo ambalo awali liliondolewa kusimamiwa na Wakala wa Majengo TBA na kukabidhiwa kwa Suma JKT linatarajiwa kukabidhiwa May 30 mwaka huu, zaidi Bonyeza PLAY kutazama na kuona alichozungumza Waziri Mkuu.

VIDEO: DAWA YA COVIDOL INAYODAIWA KUTIBU CORONA YALETA MTAFARUKU

Soma na hizi

Tupia Comments