Habari za Mastaa

VIDEO: Harmonize atangaza balaa, kumleta Burna Boy, Yemi Alade na wengine Uwanja wa Uhuru

on

Kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari aliofanya jioni ya March 16, 2020, Msanii Harmonize ametangaza kuwa Tarehe 27 June atafanya Tamasha kubwa la muziki uwanja wa Uhuru DSM “Afro East Fest” Tamasha ambalo litawajumuisha Wasanii wote waliohusika kwenye Album hiyo wakiwemo wasanii wa kubwa kutoka nje.

Bonyeza Play hapa chini kutazama VIDEO

VIDEO: MACHINGA KUPATA SHAVU KUPITIA ALBUM YA HARMONIZE 

 

Soma na hizi

Tupia Comments