Habari za Mastaa

VIDEO: Harmonize kaeleza yaliyomgusa kuhusu Corona

on

Msanii wa Bongofleva Harmonize kazungumza kuhusu janga la ugonjwa wa Corona kuelekea Show ya Tour yake anayotarajia kuizindua June 27 mwaka huu ambapo amesema anaimani ugonjwa huu utaisha mapema kabla ya hiyo tarehe kama watu watafuata haya.

PLAY video kumtazama akizungumza.

VIDEO: Chid Benzi kwa Kujiamini “Corona ni Mafua, Hayanipitii kokote”

 

Soma na hizi

Tupia Comments