Habari za Mastaa

VIDEO: Hatimaye huyu ndiye mshindi wa Bongo star search 2019

on

Wakati usiku wa December 24, 2019 ikiwa ni mkesha wa Christmas pia ulikuwa ni usiku wa fainali za kumsaka mshindi wa Bongo star search wa mwaka 2019 ambapo aliyefanikiwa kushinda taji hilo ni kijana Meshak Fukuta kutokea mbeya.

Bonyeza PLAY hapa chini kuona alivyotangazwa mshindi wa BSS 2019.

 

VIDEO: FAINALI YA BONGO STAR SEARCH TOP 5 WAKICHUANA KUIMBA LIVE

Soma na hizi

Tupia Comments