AyoTV

VIDEO: Haya ndio magoli bora ya Chama toka ajiunge Simba SC

on

Kiungo wa kimataifa wa Zambia anayeichezea Simba SC Clotous Chama ametutajia magoli yake anayoamini ni bora zaidi kuwahi kuyafunga toka amejiunga na Simba SC, Chama ametaja magoli matatu anayoamini ni bora kwake akiwa Simba SC, bonyeza PLAY kutazama.

VIDEO: EXCLUSIVE: NI KWELI GSM WANATAKA KUINUNUA YANGA SC? WATOA MAJIBU

Soma na hizi

Tupia Comments