Habari za Mastaa

VIDEO: Hii ndiyo nyumba aliyozaliwa aliyekuwa staa bongo movie Sharo Milionea

on

AyoTV na millardayo.com zilifika mpaka Tanga nyumbani kwa Mama wa marehemu Sharo Milionea na kukutana na nyumba ambayo Mama Sharo aliishi kabla ya kuhamia kwenye nyumba yake mpya aliyojenga baada ya kupata pesa zilizotokana na kazi ya maigizo aliyokuwa akifanya mwanae enzi za uhai wake.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

Soma na hizi

Tupia Comments