AyoTV

VIDEO: Ibrahim Ajib wa Simba SC aguswa na corona

on

Mchezaji wa Simba SC Ibrahim Ajib Migomba imeonekana ameamua kuwekeza muda wake mwingi katika kusaidia watoto yatima wakati huu wa mlipuko wa virusi vya corona, Ajib ambaye anaitumikia Simba SC leo ametembelea kituo cha tatu cha watoto yatima ikiwa ni muendelezo wa kurejesha kwa jamii.

Leo Ajib akiwa na uongozi wake wametembelea kituo cha watoto Yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza jijini Dar es Salaam na kutoa vyakula, ndoo na sabuni za kuoshea mikono kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona kama inavyoshauriwa na wataalum wa afya.

AUDIO: CORONA YAMTIA SIMANZI MBWANA SAMATTA

Soma na hizi

Tupia Comments