AyoTV

VIDEO: Ikitokea Taifa Stars ikacheza vs England, Bongozozo ataamua hivi dhidi ya taifa lake

on

Shabiki mkubwa wa Taifa Stars ambaye pia raia wa wa Uingereza Bongozozo amefunguka na kueleza kuwa atakuwa upande wa kushangilia Tanzania ikitokea siku Taifa Stars ikacheza dhidi ya Taifa lake (England), kwa sababu anaamini ndio timu anayoipenda.

VIDEO: KUTOKA ENGLAND BONGOZOZO KAIFUATA TAIFA STARS VS EQUATORIAL GUINEA

Soma na hizi

Tupia Comments