Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Video iliyozua taharuki Mwalimu akimchapa Mwanafunzi, RC atoa kauli
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Video iliyozua taharuki Mwalimu akimchapa Mwanafunzi, RC atoa kauli
Top Stories

Video iliyozua taharuki Mwalimu akimchapa Mwanafunzi, RC atoa kauli

January 25, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Kufuatia video fupi iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha Mwalimu akimchapa mwanafunzi viboko,tayari taarifa hiyo imemfikia Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila na hapa anaitolea ufafanuzi na hatua zilizochukuliwa mpaka sasa

“Mwalimu aliyeonekana katika clip akipiga mwanafunzi viboko ni Mwalimu ambaye yupo katika Mkoa wa Kagera Wilaya ya Kyerwa na tukio hili ni kweli lilitokea tarehe 10 mwezi wa kwanza mwaka huu 2023 siku moja tu baada ya shule kufunguliwa na alipiga viboko wanafunzi zaidi ya mmoja”

“Aliwachapa wanafunzi kwa sababu hawakufanya homework waliyopewa wakati wa likizo,hatua zilizochukuliwa ya kwanza ni kutenguliwa ualimu Mkuu wake na Jambo la pili kusimamishwa kazi na kamati zinaendelea kulichunguza suala hili”Rc Chalamila

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA January 25, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Live: Lissu, Mbowe na Viongozi mbalimbali wanafunguka muda huu baada ya mapokezi Aiport
Next Article Rais Samia afanya mabadiliko makubwa ya Ma DC, wapya 37
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?