AyoTV

VIDEO: Jerry Muro aeleza msimamo wake kwa waliotafsiri kamponda Eymael

on

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro leo alifanya mahojiano na moja kati ya vituo vya radio nchini na kudaiwa kuwa ametoa kauli za kumponda kocha Luc Eymael wa Yanga na kusema msaidizi wake Mkwasa ni bora, Jerry ametolea ufafanuzi suala hilo.

VIDEO: “MANARA AWE NA ADABU, MIMI MKUU WA WILAYA AKILETA MDOMO SAA 48 ZINAMUHUSU”-JERRY MURO

Soma na hizi

Tupia Comments