AyoTV

VIDEO: Jerry Muro karudi Yanga, kashusha vijembe Simba MO Dewji na Manara watajwa

on

Afisa habari wa zamani wa Yanga SC ambaye ni mkuu wa wilaya ya Arumeru kwa sasa Jerry Muro amerejea Dar es Salaam akiwa likizo na amekutana na waandishi wa habari leo na kuongea nao kuhusiana na masuala yanayohusu club yake ya Yanga.

Jerry leo aliongea na waandishi kuelekea mchezo wa Kombe la FA wa Yanga dhidi ya Gwambina FC utakaochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jerry anarejea wakati huu ambao Yanga wakidaiwa kuwa wamegawanyika kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu.

VIDEO: “MANARA AWE NA ADABU, MIMI MKUU WA WILAYA AKILETA MDOMO SAA 48 ZINAMUHUSU”-JERRY MURO

Soma na hizi

Tupia Comments