Mix

Video: John Cena alivyomsuprise Sho madjozi kwenye kipindi cha The Kelly Clarkson Show

on

NI Headlines za mwimbaji Sho Madjozi ambae hivi karibu alipata mwaliko katika kipindi kiitwacho The Kelly Clarkson Show kilichopo huko nchini Marekani.

Sasa Madjozi alifanyiwa suprise ya nguvu ya kuletewa mcheza mieleka maarufu kama John Cena huku Madjozi akiimba wimbo wake unaokwenda kwa jina la John Cena, unaweza ukaitazama hapa ilivyokuwa.

Madjozi anaingia kwenye orodhaa ya wasanii wachanga wanaokuja kwa sasa kutokea Afrika na kukubali kwa jitihada zake

ULIIKOSA HII YA ALIKIBA ALIVYOIMBA LIVE ‘MSHUMAA’ KWENYE AFTER PARTY BASI ITAZAME HII VIDEO

 

Soma na hizi

Tupia Comments