AyoTV

VIDEO: Kabwili na Ngassa wa Yanga SC wafungiwa

on

Kamati ya Uendeshaji wa Ligi imewafungia michezo mitatu na faini ya Tsh. Laki tano kwa kila mmoja Wachezaji wa Mbeya City(Kelvin John na Majaliwa Shaban) na Yanga Sc (Mrisho Ngasa ,Ramadhani Kabwili na Cleafas Sospeter) kwa kosa la kugoma kuingia vyumbani katika mchezo wa Dec 24.

VIDEO: RAHA ILIYOJE !!! BABA MZAZI WA SAMATTA, HAKULALA ANACHEZA MUZIKU UTAMBULISHO

Soma na hizi

Tupia Comments