AyoTV

VIDEO: Kagera Sugar yamwaga machozi Mama Manji, kipigo cha 3-0 cha Yanga

on

Kipigo cha 3-0 uwanja wa Uhuru cha Yanga leo dhidi ya Kagera Sugar kimewatia majonzi mashabiki wa Yanga SC, ikiwemo mama mmoja muuza jezi ambaye anafahamika kwa jina la Mama Manji.

AUDIO: DR Kigwangalla ahoji bilioni 4 za MO Dewji Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments